Panga la idadi ya nyota wa kigeni linakuja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2020
Panga la idadi ya nyota wa kigeni linakuja

Serikali imeliagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhakikisha kunakuwa na ukomo wenye tija kwa wachezaji wa kigeni wanaokuja kusakata kabumbu nchini

Akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake jana, Waziri mwenye dhamana ya Michezo Dk Harrison Mwakyembe alisema pamoja na TFF kuruhusu usajili wa wachezaji wa kigeni mpaka 10, lakini ni wachezaji wachache ambao wana ubora akiwatolea mfano Faroukh Shikhalo, Bernard Morrison, Paschal Wawa na Meddie Kagere wa vilabu vya Yanga na Simba

Dk Mwakyembe amesema Yanga na Simba zinaongoza kwa kusajili wachezaji wengi wa kigeni, wanapaswa kuwa na ukomo wa wachezaji hao kwani hata sasa idadi kubwa ya wachezaji waliowasajili hawawatumii

Waziri ameiagiza BMT kutengeneza kanuni ambayo itawezesha kuimarisha uwezo wa wachezaji wa ndani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’