Fei Toto bado yupo sana Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Apr 2020
Fei Toto bado yupo sana Yanga

Pamoja na kuwa siku za karibuni amekuwa akitajwatajwa sana na huko Msimbazi, kiungo fundi Feisal Salum 'Fei Toto' sio miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu, imefahamika

Uongozi wa Yanga kupitia kwa Afisa Mhamasihaji Antonio Nugaz, amethibitisha kuwa mwamba huyo kutoka visiwani Zanzibar bado ana mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Hata hivyo kutokana na ubora ambao Fei Toto alionyesha kwenye mechi za mwisho kabla ya ligi kusimama kutokana na janga la corona, amewashawishi mabosi wake Yanga kumpa mkataba mnono zaidi

Kampuni ya GSM, wadhamini/wahisani wa Yanga, wameweka mkakati wa kusuka kikosi imara ambacho kitatwaa ubingwa wa ligi kuu msimu ujao

Kabla ya dirisha la usajili kufunguliwa, GSM wanaanza kuboresha maslahi ya wachezaji wote ambao Eymael amependekeza waendelee kubaki Jangwani

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’