Vituo vinavyochukua sampuli ya corona Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2020
Vituo vinavyochukua sampuli ya corona Dar

Vituo 24 vimetengwa mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kuchukua sampuni za washukiwa wa virusi vya corona, lengo likiwa ni kupunguza maambukizi zaidi

Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana, vituo hivyo vimetengwa kila wilaya mkoani humo kama ifuatavyo;

Manispaa ya Kinondoni

Hospitali ya Mwananyamala, Magomeni, Rabininsia, TMJ na kituo vya afya cha IST na Mikoroshini.

Manispaa ya Ilala

Hospitali ya Amana, Buguruni, Mnazi Mmoja, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Hindu Mandal, Aga Khan na Regency.

Wilaya ya Temeke

Hospitali ya Temeke, Mbagala Rangi Tatu, Yombo na TOHS.

Ubungo

Hospitali ya Sinza, Bochi na Mlongazira na kituo cha afya cha Kimara

Kigamboni

Hospitali binafsi ya Aga Khan na kituo cha afya cha Vijibweni na Kigamboni.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’