Yanga yarudi Congo kusaka mshambuliaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2020
Yanga yarudi Congo kusaka mshambuliaji

Baada ya usajili wa Bernard Morrison aliyetokea DC Motema Pembe 'kubamba', inaelezwa Yanga inamnyemelea mchezaji kutoka klabu ya AS Vita ya huko DR Congo

Winga Tuisila Kisinda ndiye anayetajwa kutakiwa na mabingwa hao wa kihistoria ukiwa ni mkakati wa kuisuka upya Yanga ya mataji

Nyota huyo ni miongoni mwa waliopendekezwa na kocha Luc Eymaael katika kuimarisha safu yake ya ushambuliaji

Kisinda ni mmoja wa wachezaji mahiri wa klabu ya AS Vita. Nyota huyo pia anamudu kucheza nafasi ya mshambuliaji wa kati

GSM ndio inayoipa jeuri Yanga wakati huu, inaelezwa wametenga kitita cha Tsh Bilioni 1.5 kwa ajili ya usajili

Nyota wanne wa kigeni watasajiliwa ambapo Eymael tayari amewasilisha mapendekezo yake

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema katika usajili ujao wako tayari kutumia hata dola laki tano kumnasa mchezaji yeyote aliyependekezwa na Eymael

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’