Tutakufa na kombe la FA - Shikhalo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Mar 2020
Tutakufa na kombe la FA - Shikhalo

Mlinda lango wa Yanga farouq Shikhalo amekiri kwa sasa sio rahisi wao kutwaa taji la Ligi Kuu kutokana na changamoto walizokutana nazo

Hata hivyo anaamini wakiwa imara wana nafasi ya kushinda taji la FA

Shikhalo anayechuana vikali na Metacha Mnata kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza, amesema kwa jitihada wanazofanya, wanastahili kumaliza msimu wakiwa angalau na taji moja

"Kwa sasa ni wazi nafasi yetu ya kutwaa ubingwa ni finyu sana. Kuna makosa mengi tulifanya kwenye hesabu zetu huko nyuma, lakini mimi naamini tukiweka juhudi zaidi, tunaweza kushinda FA"

"Kila mmoja anataka tupate nafasi kushiriki michuano ya Kimataifa msimu ujao, nadhani tuna kila sababu ya kupambana kuhakikisha tunashinda taji hilo," alisema Shikhalo

Shikhalo alitua Yanga mwanzoni usajili wa msimu huu akitokea klabu ya Bandari Fc ya Kenya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’