Nyota Yanga wapishana Jangwani kujieleza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2020
Nyota Yanga wapishana Jangwani kujieleza

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael alitoa mapendekezo wachezaji waliokosa safari ya mkoani Lindi wajieleze kwa nini wasichukuliwe hatua za kinidhamu

Ni mapendekezo ambayo yalibarikiwa na uongozi  wa Yanga kwenye kikao walichokutana na Mbelgiji huyo hivi karibuni

Nyota takribani saba wakiongozwa na David Molinga, waliingia kwenye mtego huo wa kutakiwa kutoa maelezo

Kelvin Yondani, Lamine Moro, Erick Kabamba, Haruna Niyonzima, Mohammed Issa 'Banka' na Abdulaziz Makame 'Bui' ni miongoni mwa waliokosa safari hiyo

Yondani aweka ngumu

Wakati wachezaji wengine wakiwasilisha utetezi wao Makao Makuu, imeelezwa mkongwe Kelvin Yondani amegoma zoezi hilo

Yondani amesema yeye aliomba ruhusa mapema kuwa alikabiliwa na matatizo ya kifamilia na uongozi ulimkubalia

Hivyo hakubaliani na suala la kutakiwa kujieleza  tena wakati taarifa yake iko Makao Makuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’