Mechi ya Yanga na Simba yaweka rekodi ya mapato uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2020
Mechi ya Yanga na Simba yaweka rekodi ya mapato uwanja wa Taifa

Mechi ya watani wa jadi Yanga vs Simba iliyochezwa Jumapili Machi 8, 2020 imevunja rekodi ya mapato kwa kuiingizia serikali shilingi milioni 153.2 kiasi ambacho hakijawahi kupatikana katika historia ya mechi za watani hao.

Taarifa hiyo imetolewa mapema leo na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas

Aidha ukiondoa mapato ya Serikali, jumla ya Tsh Milioni 545.4 zilikuwa ni mapato ya timu (Yanga) ambao walikuwa wenyeji wa mchezo huo

Hii ni rekodi mpya katika historia ya uwanja huo uliozinduliwa mwaka 2007

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’