Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Namungo Fc dhidi ya Yanga ambao utapigwa leo Jumapili katika dimba la Majaliwa wilayani Ruangwa, mkoa wa Lindi
Mh Majaliwa ndiye mlezi wa klabu ya Namungo ambayo inatoka katika jimbo lake
Kocha Luc Eymael na vijana wake wako tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa kumi Alasiri na kurushwa mbashara na Azam Sport 2

ADVERTISE HERE