Yanga imeangusha alama tatu uwanja wa Uhuru baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa KMC
Charles Ilanfya alifunga bao hilo pekee kwa upande wa KMC baada ya safu ya ulinzi ya Yanga kuzembea
Pamoja na kutengeneza nafasi kadhaa, safu ya ushambuliaji ya Yanga ilikosa umakini kutumia nafasi hizo
Moja ya nafasi ilipotezwa na mshambuliaji David Molinga ambaye alikuwa katika eneo zuri la kufunga akapaisha
Baada ya mechi hii Yanga inapaswa kwenda Ruangwa kuifuata Namungo Fc kwa ajili ya mchezo mwingine ambao utapigwa JUmapili
ADVERTISE HERE