Wanachama wa klabu ya Yanga tawi la Makao Mkuu jijini Dodoma walikutana jana kujadiliana masuala kadhaa ikiwemo mchezo wa Machi 8 dhidi ya Simba
Wanachama hao wameweka mkakati wa kusafiri jijini Dar es salaam kuwa sehemu ya mashabiki watakaoiunga mkono Yanga kwenye mchezo huo ambao Yanga ni Mwenyeji
Tawi hilo la Makao Makuu liko chini ya ulezi wa Mh Anthony Mavunde Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu






ADVERTISE HERE