Papi Kabamba Tshishimbi, mutu ya Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Oct 2017
Papi Kabamba Tshishimbi, mutu ya Congo
Bila ya ubishi Papi Kabamba Tshishimbi ndiye nyota wa mchezo wa leo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.

tshishimbi aliweza kuichafua kabisa sehemu ya kiungo na kuwafanya viungo wa Simba wapoteane kabisa.

Aidha Tshishimbi alisababisha kocha wa Simba Joseph Omog abadilishe safu yake ya kiungo kwa kuwatoa Mzamiru na Kotei nafasi zake kuchukuliwa na Nkude, Ndemla.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’