Leo mkoani Tanga uwanja wa Mkwakwani, Yanga inacheza na Coastal Union katika mchezo wa kukata na shoka
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga Tanga, ukinunua jezi original brand Chapa Gsm grade A kwa Shilingi 35,000 basi utapatiwa tiketi ya mchezo wa leo bure
Wasiliana na Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz kupitia namba hii sasa 0715 623821 ili kujipatia tiketi yako ya bure na uingie Mkwakwani ukiwa umevaa uzi original wa Yanga
ADVERTISE HERE