Tutaikabili Coastal Union kwa tahadhari - Eymael

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Feb 2020
Tutaikabili Coastal Union kwa tahadhari - Eymael

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema wanatambua mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Mkwakwani, hautakuwa mwepesi

Coastal Union imekuwa na msimu mzuri lakini mchezo uliopita walifungwa mabao 2-1 na Ruvu Shooting

"Tunakwenda kucheza na moja ya timu bora kwenye ligi msimu huu. Wamefungwa mchezo uliopita, nafikiri watatupa upinzani," amesema

"Lakini nasi tumekosa ushindi kwenye michezo mitatu iliyopita hivyo tunahitaji sana kushinda. Nafahamu mashabiki wana shauku ya alama tatu. Tuko vizuri, tumesahihisha baadhi ya makosa yaliyojitokeza kwenye mechi zilizopita nadhani tutafanya vizuri"

Yanga imeweka kambi mkoani Tanga kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na wakazi wa mkoa wa Tanga na maeneo ya jirani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’