Mashabiki Yanga waomba mechi dhidi ya Simba ichezwe Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2020
Mashabiki Yanga waomba mechi dhidi ya Simba ichezwe Jumamosi

Mchezo wa mzunguuko wa pili ligi kuu ya Vodacom kati ya Yanga dhidi ya Simba umepangwa kupigwa March 08 kwenye uwanja wa Taifa, muda huenda ukawa saa moja usiku

Siku hiyo itakuwa Jumapili na ili kuhakikisha mashabiki wengi wanapata nafasi ya kuushuhudia mchezo huo, uongozi wa Yanga umeombwa kuwasiliana na Bodi ya ligi ili kuomba mchezo huo urudishwe nyuma kwa siku moja yaani upigwe March 07 ambayo itakuwa Jumamosi

Hii itatoa fursa kwa mashabiki kutoka nje ya Dar kusafiri kushuhudia mchezo huo Jumamosi na siku ya Jumapili wakaitumia kurejea makwao

Pia mchezo huo kama utapigwa saa moja jioni, hautakuwa muda rafiki, ni wazi mashabiki wengi wanaweza wakabaki majumbani mwao kushuhudia mtanange huo kupitia Azam TV

Hapa itakayoathirika zaidi ni Yanga kwa kuwa ndio wenyeji wa mchezo huo, mapato yatapungua

Ni vyema dabi hiyo ikapigwa siku ya Jumamosi, saa 11 jioni kama ulivyokuwa mchezo wa kwanza uliopigwa Januari 04 ambao ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’