Yanga yamkaribisha Mtendaji Mkuu Bodi ya Ligi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2020
Yanga yamkaribisha Mtendaji Mkuu Bodi ya Ligi

Juzi Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) lilimtangaza Almasi Kasongo ambaye alikuwa Mwnyekiti wa Chama cha Soka mkoa wa Dar es salaam, kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Bodi ya Ligi

Kasongo amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Boniface Wambura aliyerudishwa TFF kuwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano

Uongozi wa klabu ya Yanga umemkaribisha Kasongo huku wakimtaka atumie weledi, uzoefu na uadilifu wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini

Aidha Yanga imeahidi kumpa ushirikiano pamoja na Bodi yake kwa ajili ya manufaa na maendeleo ya mpira wa miguu nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’