Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mahiri wa Yanga Haruna Niyonzima
Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Rwanda amerejea Yanga usajili wa dirisha dogo na mara moja mchango wake umeonekana
Niyonzima ndiye injini ya safu ya kiungo ya Yanga, leo atakuwa dimbani kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

HAPPY BIRTHDAY NIYONZIMA...!
ADVERTISE HERE