Yanga yaanza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Lipuli Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2020
Yanga yaanza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Lipuli Fc

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar jana, kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Lipuli Fc

Keshokutwa Jumatano, Februari 05 Yanga itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuwakabili Wana Paluhengo hao kutoka mkoani Iringa

Mchezo huo utakuwa wa kisasi kwa Yanga ambayo msimu uliopita ilipoteza mechi mbili dhidi ya Lipuli, mchezo wa marudiano wa ligi kuu pamoja na mchezo wa nusu fainali kombe la FA

Ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar umeirudisha Yanga kwenye nafasi ya nne katika msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 31 ikiwa imeshuka dimbani mara 16

Yanga bado ina mechi mbili za viporo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’