Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said tayari wamempokea nguli wa mfumo wa soka la Kisasa yaani Modern Football Carraca Antonio Domingoz Pinto
Pinto atakuwa nchini kuandaa/kushauri mpango mkakati ambao Yanga itautumia katika kufanikisha kubadili mfumo wake wa uendeshaji



ADVERTISE HERE