Yanga yamshusha nguli wa soka la kisasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2020
Yanga yamshusha nguli wa soka la kisasa

Wadhamini wa Yanga kampuni ya GSM imemleta nchini nguli wa mfumo wa soka la kisasa yaani Modern Football, Carraca Antonio Domingoz Pint kwa ajili ya kuandaa mchakato wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Yanga

Domingoz amewahi kuwa Mtendaji Mkuu (General Manager) wa Klabu Benfica ya Ureno kwa kipindi cha miaka 10

Tayari amewasili jinjini Dar es salaam ili kuanza kazi ya kushauri kueleka Mabadiliko ya kimfumo ya uendeshaji wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’