Mchezo wa pili wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba utapigwa March 08 2020
Mabingwa wa kihistoria Yanga watakuwa wenyeji wa mchezo huo ambao utapigwa dimba la Taifa
Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ambao ulipigwa Januari 04 ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2
ADVERTISE HERE