Kwa huyu Morrison, maji wataita 'mma'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jan 2020
Kwa huyu Morrison, maji wataita 'mma'

Mshambuliaji mpya wa Yanga Bernard Morrison ameanza vyema maisha yake Jangwani baada ya kun'gara kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida United

Morrison ameonesha kuwa na vitu vingi mguuni, ana kasi, mbunifu na mchezaji msumbufu kwa mabeki

Morrison ni aina ya mchezaji ambaye Yanga ilikuwa ikimkosa, leo amehusika kwenye mabao mawili yaliyofungwa na Yanga

Kama ameweza kun'gara katika mazingira ya uwanja wa Namfua (LITI), kwa mechi ambazo zitapigwa uwanja wa Uhuru au Taifa, mabeki watakuwa na kazi

Nyota huyo kutoka Ghana anaweza kuwa usajiri bora uliofanywa na Yanga dirisha dogo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’