Eymael hataki kusikia wachezaji wanapanda Bodaboda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jan 2020
Eymael hataki kusikia wachezaji wanapanda Bodaboda

Siku chache baada ya Kocha mpya wa Yanga, Luc Eymael kuanza kibarua katika kikosi hicho, amewakataza wachezaji wake kutotumia usafiri wa pikipiki (Bodaboda), kwa lengo la kuwahi mazoezi yake.

Eymael ambaye alianza majukumu yake Yanga vibaya kwa kuishuhudia timu yake ikichapwa mabao 3-0 na Kagera Sugar jana, amesema wachezaji wote wanatakiwa kutumia basi la klabu hiyo, wakati wa kwenda mazoezini . 

Eymael alisema wachezaji wanapokuwa hawapo kambini watakiwa kufika klabuni mapema ili waweze kuondoka kwa pamoja, lakini si kupanda pikipiki.

"Usafiri wa basi la klabu ni salama zaidi kuliko kutumia usafiri wa pikipiki pia itasaidia wote kufika kwa wakati mazoezini,” alisema Eymael.

Eymael ametua katika klabu hiyo kuchukua nafasi ya Kocha Mwinyi Zahera aliyetimuliwa mwaka jana, baada ya Yanga kutolewa katika michuano ya Kombe la Afrika.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’