Mhilu, Mwashiuya warejea kuiwinda Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2020
Mhilu, Mwashiuya warejea kuiwinda Yanga

Nyota wawili wa Kagera Sugar Yusufu Mhilu na Geofrey Mwashiuya ambao wako kwenye kiwango bora, leo wataiongoza timu yao kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga

Mhilu na Mwashiuya ni zao la klabu ya Yanga hivyo leo watakabiliana na waajiri wao wa zamani

Mhilu amekuwa na msimu mzuri Kagera Sugar mpaka sasa akiwa ameifungia timu hiyo mabao matano

Litua Kagera Sugar mwanzoni mwa msimu akitokea klabu ya Ndanda Fc ambayo aliitumikia kwa mkopo

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’