Kikosi cha Yanga jioni ya leo JUmatano Januari 15 2020 kitashuka kwenye uwanja wa Uhuru kuikabili Kagera Sugar ukiwa ni mchezo wa ligi uu ya Vodacom
Viingilio vya mchezo huo wa kwanza kwa kocha Luc Eymael vimewekwa hadharani ambapo Mzunguuko ni Tsh 5,000/- tu
VVIP ni Tsh 15,000/- wakati VIP ni sh 10,000/-
Huu sio mchezo wa kukosa kwani ni nafasi kwa mashabiki kuona mwelekeo wa timu chini ya benchi jipya la ufundi linaloongozwa na Eymael na Riedoh Berdien
ADVERTISE HERE