Eymael, Berdien wapewa miezi 18 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2020
Eymael, Berdien wapewa miezi 18 Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga mapema leo umewapa mikataba ya miezi 18 kocha mkuu Luc Eymael na kocha wa viungo Riedoh Berdien ambaye pia atakuwa kocha msaidizi wa pili

Eymael na Berdien wamesaini mikataba yao mbele ya Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla

Baada ya kufanya kazi pamoja mwaka 2018 na kuipa mafanikio Free State Stars kwa kutwaa taji la Nedbank huko Afrika Kusini, wawili hao wameungana tena wakiahidi kuipa mafanikio Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’