Kikosi cha Yanga tayari kiko visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi
Mabingwa hao wa kihistoria watashuka dimbani kesho Jumanne, kuikabili Jamhuri katika mchezo utakaopigwa saa mbili na robo usiku uwanja wa Amaan
Michuano ya mwaka huu ni ya mtoano hivyo kama Yanga itashinda mchezo huo itatinga nusu fainali
Msafara wa Yanga uliwasili visiwani Zanzibar jana jioni
ADVERTISE HERE