Kamusoko, Balinya waitakia Yanga ushindi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2020
Kamusoko, Balinya waitakia Yanga ushindi

Pamoja na kuwa wameondoka Yanga wachezaji Thabani Kamusoko na Juma Balinya, wameitakia kheri Yanga leo katika mchezo wa dabi dhidi ya Simba ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Kamusoko ambaye kwa sasa anacheza Zesco United, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, amewatakia kheri wachezaji wa Yanga ili waweze kushinda leo

"Kila la kheri Yanga kwenye mechi ya kesho, mungu awapatie nguvu muweze kushinda inshaallahh..," aliandika Balinya

Naye Balinya ambaye aliondoka Yanga mwezi uliopita baada ya makubaliano ya kuvunja mkataba wake kufikiwa, amemtakia kheri zaidi Patrick Sibomana awe chachu ya ushindi kwa Yanga

"Kila la kheri rafiki yangu Patrick Sibomana, uwe na mchezo mzuri katika dabi yako ya kwanza! Daima mbele nyuma mwiko"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’