Niyonzima apewa baraka zote AS Kigali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2020
Niyonzima apewa baraka zote AS Kigali

Kiungo mpya wa Yanga Haruna Niyonzima amewaaga wachezaji na viongozi wa klabu ya AS Kigali ambayo ameitumikia kwa miezi sita

Niyonzima alikuwa nahodha wa timu hiyo, alikabidhiwa jezi ya AS Kigali ikiwa shukrani ya huduma yake

Baada ya tukio hilo, ni wazi Niyonzima wakati wowote atajiunga na kikosi cha Yanga

Juzi Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz alisema Niyonzima alitarajiwa kuwasili leo

Hata hivyo Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema taarifa rasmi itatolewa baada ya mchezaji huyo kuwasili

Kuhusu uwezekano wa kucheza mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba, Bumbuli amesema anaweza au asiweze kucheza

Lakini muhimu amesema Yanga ina kikosi kipana ambacho kina wachezaji wanaoweza kuwapa matokeo kwenye mchezo dhidi ya Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’