FT : Yanga 1-0 Biashara United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2019
FT : Yanga 1-0 Biashara United

Mshambuliaji Tariq Seif Kiakala amefungua ukurasa wa mabao kwenye kikosi cha Yanga baada ya kufunga bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Ulikuwa mchezo ambao kama sio bao hilo la Tariq, pengine ungemalizika kwa suluhu

Ukweli ni kwamba leo vijana wamecheza chini ya kiwango, timu haikuonekana kuwa na shauku ya kusaka ushindi

Ni mchezo ambao mshambuliaji David Molinga hakuwa katika ubora ambao wengi walianza kuuona kutoka kwake

Kwani Tariq alyeingia kuchukua nafasi yake, pamoja na ugeni wake kwenye kikosi cha Yanga aliweza kutumia nafasi aliyopata kuipa Yanga ushindi muhimu

Lakini muhimu Yanga ilihitaji ushindi, matokeo ambayo yamepatikana

Bila shaka kocha Charles Mkwasa atatumia siku zilizobaki kufanya maboresho ya kikosi chake kabla ya mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Januari 04 2020

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’