FT : Prisons 0-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2019
FT : Prisons 0-1 Yanga

Mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga leo wametakata uwanja wa Samora mkoani Iringa baada ya kuichapa Tanzania Prisons bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Bao pekee lililoihakikishia Yanga ushindi muhimu liliwekwa kimiani na Patrick Sibomana 'PS Machine' kwenye dakika ya 4

Yanga leo imekuwa timu ya kwanza kupata ushindi dhidi ya Tanzania Prisons iliyokuwa haijafungwa mchezo hata mmoja

Aidha matokeo hayo yameipandsha Yanga mpaka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 21

Yanga inarejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata ambao ni dhidi ya Biashara United utakaopigwa Disemba 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’