Mshambuliaji mpya wa Yanga Ditram Nchimbi kesho anatarajiwa kusafiri kuelekea mkoani Mbeya kuungana na timu kuendelea na maandalizi ya michezo ya ligi inayofuata
Nchimbi ataongozana na nyota wengine wa kikosi cha timu hiyo ambao waliachwa jijini Dar es salaam kutokana na sababu mbalimbali
Pengine ataweza kuanza kuonekana dimbani kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa dimba la Sokoine siku ya Ijumaa, Disemba 27
ADVERTISE HERE