Ngasa atalipwa kwa awamu - Nugaz

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2019
Ngasa atalipwa kwa awamu - Nugaz

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz ametoa ufafanuzi wa suala la madai ya winga Mrisho Ngasa ambaye juzi aliibua sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii

Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi FM, Nugaz amesema tayari walifikia makubaliano ya kumlipa kwa awamu ambapo malipo yake ya kwanza atayapa kesho Jumanne

"Kuna ulazima wachezaji wetu wakaelimishwa juu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Kwani ujumbe mdogo tu unaweza kuwa na athari kubwa," amesema

"Ngasa tulizungumza nae mapema na tulikubaliana atakuwa mmoja wa wachezaji ambao watalipwa kwa awamu na malipo yao ya kwanza ni kesho"

"Ifahamike kuwa madai haya si ya sasa ni ya miaka ya nyuma. Uongozi wa sasa unawajibika kuyalipa kwa kuwa ndio utaratibu, lakini yatalipwa kwendana na uwezo wa timu"

"Leo hii kama mchezaji anadai Milioni 40 kwa mfano Yanga haiwezi kulipa fedha hiyo kwa mkupuo kutokana na uwezo wake wa sasa"

"Wachezaji wapaswa waufahamu ukweli huu, wasidanganyane kuwa eti wakifanya migomo kwa kuwa kuna mchezo dhidi ya Simba unakuja, watalipwa. Ni vyema wakafahamu uhalisia wa mambo"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’