Mshambuliaji Yikpe Gnamien raia wa Ivory Coast tayari amewasili nchini kumalizana na Yanga, mabingwa wa kihistoria
Gnamien amepokelewa na Mkurugenzi wa Mashindano Thabithy Kandorro
Gnamien aliyetua Gor Mahia miezi michache iliyopita, amevunja mkataba wake hivi karibuni baada ya timu hiyo kukumbwa na ukata
Ameondoka Gor Mahia akiwa ameifungia mabao manne
ADVERTISE HERE