Yanga yamaliza ziara kwa ushindi Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2019
Yanga yamaliza ziara kwa ushindi Kigoma

Yanga imemaliza ziara yake mkoani Kigoma kibabe baada ya kuichapa Kigoma United mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika

David Molinga 'Falcao' ndiye aliyekuwa shujaa wa mchezo huo akifunga mabao mawili huku bao jingine likiwekwa kambani na Mrisho Ngasa

Huo ni ushindi wa pili Yanga inapata mkoani Kigoma baada ya juzi kuichapa Namugongo Fc mabao 2-1

Mabingwa hao wa kihistoria wanarejea jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Iringa United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’