GSM yashinda tuzo ya 'brand' bora

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2019
GSM yashinda tuzo ya 'brand' bora

Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya GSM imechaguliwa kuwa brand bora na watumiaji bidhaa mwaka 2019

Bilionea Ghalib Said Mohamed ambaye ndiye rais wa GSM, ameshinda tuzo ya mfanyabiashara bora wa mwaka

Wakati Yanga ikiahidi kukamilisha mchakato wa mabadiliko ndani ya miezi sita, Ghalib anapigiwa chapuo awe mwekezaji wa klabu hiyo

GSM ni moja ya wadhamini wa Yanga, wakihusika na usambazaji wa jezi za klabu hiyo

Wanafanya ukarabaji wa jengo la Yanga ambapo pia watajenga duka kubwa la kuuza biadhaa za Yanga Makao Makuu ya klabu

Taarifa zaidi zimebainisha kuwa GSM ndio iliyomaliza changamoto ya ulipaji wa mishahara iliyojitokeza hivi karibuni

Ghalib ni Mwanayanga kwelikweli wakati wa Kubwa Kuliko aliichangia timu Tsh Milioni 300

Kupitia GSM amekuwa akitoa motisha ya Tsh Milioni 10 kwa wachezaji kwenye kila ushindi unaopatikana mechi za ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’