Yanga kamili kuivaa Rhino Rangers mchezo wa kirafiki

Shabiki Waukweli By Shabiki Waukweli
β€’
17 Oct 2017
Yanga kamili kuivaa Rhino Rangers mchezo wa kirafiki
Mabingwa watetezi ligi kuu ya Vodacom, Yanga kesho Jumatano watashuka kwenye dimba la Ali Hassani Mwinyi mkoani Tabora kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya daraja la kwanza kutoka mkoani humo, Rhino Rangers.

Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kwa kikosi cha Yanga kitakachoivaa Stand United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa saba, Oktoba 22.

Kikosi cha Yanga kimeweka kambi Tabora kujiandaa na mchezo huo.

Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh amesema hakuna majeruhi wapya katika wachezaji wote waliosafiri kanda ya ziwa.

Aidha leo wachezaji wengine ambao hawakuwemo kikosini wanatarajiwa kuungana na wenzao.

Wachezaji hao ni pamoja na Ramadhani Kabwili na Saidi Mussa ambao waliitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20.

Wengine ni Pato Ngonyani, Abdallah Hajji Γ’β‚¬ΛœNinjaÒ€ℒ na vJuma Mahadhi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’