Mtoni anaamini mambo yatakuwa sawa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Dec 2019
Mtoni anaamini mambo yatakuwa sawa Yanga

Ni wazi wachezaji wa Yanga sasa wanapita kwenye wakati mgumu kutokana na changamoto za kiuchumi ambazo timu yao inapitia

Ni kipindi ambacho kipimo chao cha uvumilivu kinajaribiwa na haishangazi kuona baadhi ya wachezaji wameanza kushindwa mtihani huu

Lakini beki Ally Mtoni 'Sonso' amesema anaamini kipindi hiki kitapita, furaha itarejea kwa uwezo wa Mwenye ez Mungu

"Hakuna wa kuombwa zaidi yako Mungu, uzidi kutupa furaha na timu yetu ya Yanga," ameandika Mtoni kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

"Inshallah Mungu ataleta wepesi tuweze kupata amani katika klabu yetu"

Ujumbe huu unadhihirisha ni kiasi gani hali ambayo wanapitia wachezaji inawaumiza lakini pia wanajiona kuwa na deni la kuwapa furaha mashabiki wao bila ya kujali yanayoendelea nyuma ya pazi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’