Hatma ya Kocha Msaidizi Yanga kufahamika mwishoni mwa wiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2019
Hatma ya Kocha Msaidizi Yanga kufahamika mwishoni mwa wiki

Kamati ya Ufundi ya klabu ya Yanga itakutana mwishoni mwa wiki kupitisha jina la kocha msaidizi wa timu hiyo, imefahamika

Tangu alipoteuliwa Charles Mkwasa kuwa Kaimu kocha Mkuu mwezi uliopita, amekuwa akisaidiana na Said Maulid (SMG) ambaye ni mkufunzi wa timu ya vijana pamoja na Dismas Ten ambaye ni Meneja wa timu

Hata hivyo pamoja na kuwa mchakato wa kusaka kocha mkuu haujakamilika, uongozi wa Yanga umeamua kumaliza mchakato wa kocha msaidizi kwanza

Upo uwezekano Mkwasa ataendelea kuinoa Yanga mpaka mwishoni mwa msimu

Kocha wa Kagera Sugar Meckie Mexime ndiye anatetajwa zaidi kuwa anaweza kutua kwa mabingwa hao wa kihistoria

Mexime amesema kuwa yuko tayari kujiunga na Yanga kama watafikia makubaliano

Mwingine anayetajwa ni Kalimangonga Ongala aliyewahi kuzinoa klabu za Azam Fc na Majimaji ya Songea

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’