Kocha Mkuu Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Etienne Ndayiragije ameweka hadharani majina ya wachezaji 32 wanaounda kikosi kitakachoshiriki michuano ya CECAFA Challenge Cup ikayaofanyika nchini Uganda
Mlinda lango Metacha Mnata, walinzi Kelvin Yondani na Juma Abdul wamejumuishwa katika kikosi hicho
Yanga pia imetoa wachezaji watatu kwenye kikosi cha Zanzibar Heroes ambao ni Feisal Salum, Abdulaziz Makame na Mohammed Issa 'Banka'
Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE