Yanga kamili kuikabili JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2019
Yanga kamili kuikabili JKT Tanzania

Kikosi cha Yanga leo jioni kinashuka kwenye uwanja wa Uhuru kuikabili JKT Tanzania ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Huo utakuwa ni mchezo wa pili wa ligi kwa Kaimu Kocha Mkuu Charles Mkwasa ambaye mpaka sasa amekuwa na mwanzo mzuri katika kikosi cha Yanga

Akizungumza baada ya mazoezi ya jana, Mkwasa alisema vijana wake wako tayari kwa mchezo huo ambao wanafahamu watakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa JKT Tanzania

Habari njema kwa Yanga ni kurejea kikosini kwa wachezaji wake muhimu waliokuwa majeruhi walinzi Ally Ally, Lamine Moro na kiungo Mohammed Issa 'Banka'

Hata hivyo Yanga huenda ikakosa huduma ya wachezaji waliokuwa timu ya Taifa Metacha Mnata, Kelvin Yondani na Abdulaziz Makame

Mchezo utapigwa saa kumi jioni kiingilo VIP ikiwa Tsh 10,000/- na Mzunguuko Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’