Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania utapigwa keshokutwa Ijumaa Novemba 22 kwenye uwanja wa Uhuru
Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko ya mchezo huo ambao awali ulikuwa upigwe siku ya Jumamosi
Muda wa mchezo ni saa kumi jioni
ADVERTISE HERE