Mkwasa abadili ratiba ya mazoezi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Nov 2019
Mkwasa abadili ratiba ya mazoezi Yanga

Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amebadili muda wa mazoezi ya kikosi chake kutoka asubuhi na kuwa jioni

Wakati wa Zahera, Yanga ilikuwa ikifanya mazoezi yake asubuhi

Aomba mechi ya kirafiki

Katika hatua nyingine, Mkwasa ametaka atafutiwe mchezo mmoja wa kirafiki kabla ya mechi ya ligi dhidi ya JKT Tanzania ambayo itapigwa Novemba 23 uwanja wa Uhuru

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kocha ametaka kutafutiwa mchezo huo ili kuwaona wachezaji wote kwa sababu alipokwenda Mtwara kucheza dhidi ya Ndanda, alikuwa na kikosi cha wachezaji 20 wengine walibaki kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo majeraha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’