Dk Msolla awakumbusha mashabiki kuchangamkia tiketi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2019
Dk Msolla awakumbusha mashabiki kuchangamkia tiketi

Mashabiki wa klabu ya Yanga wamekumbushwa kuchangamka kununua tiketi kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa CCM Kirumba

Siku ya leo tiketi zinapatikana katika vituo vitatu pekee ambavyo ni uwanja wa Nyamagana, viwanja vya Furahisha na Tawi la Yanga la Mtaa wa Rufiji

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amewataka mashabiki wote ambao watahitaji kuingia uwanjani kesho wawahi kununua tiketi kwani zitakapoisha zoezi hilo litafungwa

Amesema kila shabaki anayenunua tiketi atapatiwa nakala mbili, ambazo ni tiketi ya EFD na kiambatanisho, amewataka mashabiki kutokukubali kupewa tiketi bila kiambatanisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’