Tiketi mechi dhidi ya Pyramids kuanza kuuzwa kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Oct 2019
Tiketi mechi dhidi ya Pyramids kuanza kuuzwa kesho

Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa kuwa tiketi za mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc zitaanza kuuzwa kesho Ijumaa mpaka Jumapili mchana ambayo ndiyo siku ya mchezo

Kwa Wanayanga wa Mwanza mnaweza kununua tiketi kwenye vituo hivi;

1. Nyamagana

2. Kituo cha mabasi Nyegezi

3. Kituo cha mabasi Buzuruga

4. Kituo cha mabasi Igoma

5. Shule ya Msingi Buhongwa

6. Uwanja wa CCM Kirumba

7. Lenana Hotel Pasiasi

8. Posta Pamba Road

9. Kituo cha mabasi Mkolani

10. Kituo cha mafuta Buswelu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’