Matukio katika picha : Yanga 2-1 Pamba Fc, mechi ya kirafiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2019
Matukio katika picha : Yanga 2-1 Pamba Fc, mechi ya kirafiki

Baada ya ushindi wa jana kwenye VPL dhidi ya Mbao Fc, leo Yanga imeshuka dimbani kucheza na Pamba FC mchezo wa kirafiki ambao umemalizika kwa ushindi mwingine wa mabao 2-1.

Wafungaji wa mabao ya Yanga walikuwa Juma Balinya na Patrick Sibomana.

Kocha Mwinyi Zahera aliwatumia wachezaji wote wa timu hiyo ambao hawakutumika kwenye mchezo wa jana.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’