FT : Mbao Fc 0-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Oct 2019
FT : Mbao Fc 0-1 Yanga

Mabingwa wa kihistoria Yanga wamepata ushindi muhimu dhidi ya Mbao Fc baada ya kuichapa bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba leo

Bao pekee la Yanga liliwekwa kimiani na Sadney Urikhob kwenye dakika ya 57 akimalizia krosi murua iliyopigwa na Mapinduzi Balama

Ulikuwa ni mchezo uliojaa ubabe, Yanga ilitengeneza nafasi zaidi lakini ikifanikiwa kutumia nafasi moja

Yanga ilihitaji ushindi kwenye mchezo wa leo ili kuweka juu morali ya wachezaji kuelekea mchezo dhidi ya Pyramids FC utakaopigwa Jumapili Oktoba 27

Aidha ushindi huo unawafanya waendelee kupanda juu kwenye msimamo wa ligi sasa wakishika nafasi ya 11 baada ya kufikisha alama saba

Kwa mara ya pili wachezaji wa Yanga wameondoka na kitita cha Mil 10 zilizotolewa na GSM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’