GSM yaweka mezani Mil 10 mechi dhidi ya Mbao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Oct 2019
GSM yaweka mezani Mil 10 mechi dhidi ya Mbao

Kampuni ya GSM mmoja wa wadhamini wa klabu ya Yanga imeahidi kutoa Milioni 10 kama Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya Mbao Fc leo katika mchezo wa iigi kuu ya Vodacom utakaopigwa uwanja wa CCM Kirumba

Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz amesema kama ulivyokuwa mchezo dhidi ya Coastal Union, GSM tayari imeweka kitita cha Tsh Milioni 10 mezani

Huu ni utaratibu ambao kampuni hiyo iliahidi kuuendeleza ili kuwapa motisha wachezaji kuhakikisha wanashinda mechi zao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’