Boxer kuiwahi Pyramids Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2019
Boxer kuiwahi Pyramids Fc

Beki wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey 'Boxer' anakamilisha program maalum ya mazoezi akitarajiwa kujumuishwa kikosini baada ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbao Fc

Daktari wa Yanga Dk Shedy Mgazija amesema Boxer alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya goti, amepona na ataanza rasmi mazoezi ya kikosi cha kwanza ndani ya siku mbili

"Kwa ujumla hapa Mwanza tunaendelea vizuri labda nizungumzie hali ya mchezaji wetu Boxer.. Alipata majeraha upande wa goti la kulia, matibabu yake yalichukua muda lakini kwa sasa hivi anaendelea vizuri"

"Kwa sasa anaendelea na program ya mazoezi ya peke yake aliyopewa na kocha Mwinyi Zahera ili kujiweka fit, lakini kimsingi amepona"

"Tunatarajia atajumuika kwenye mazoezi na wachezaji wengine baada ya siku mbili, " amesema Dk Mgazija

Boxer alipata majeraha August 24 kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers, mchezo uliopigwa nchini Botswana na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’