Msuva awapa ushauri mawinga wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2017
Msuva awapa ushauri mawinga wa Yanga
Winga wa Difaa Al Jadida, Simon Msuva ameiona Yanga na kusema kuwa ni moja ya timu zenye vikosi bora msimu huu katika ligi kuu ya Vodacom lakini ameshauri maboresho hasa kwenye safu ya ushambuliaji.

Msuva amewakumbusha kwamba ushindi mkubwa wa timu hiyo kwenye misimu ya hivi karibuni, ulikuwa unatokea kwenye mashambulizi ya pembeni, hivyo waliobaki wanapaswa kujiamini zaidi.

Msuva ambaye mauzo yake yaliingizia Yanga zaidi ya Mil 300, ameongeza kuwa kukosekana kwake katika kikosi hicho kumepunguza nguvu kwa kiasi fulani, lakini anamini bado ni mapema kulaumiana.

Ò€œLinaweza kuwa tatizo kama Yanga isipopata mchezaji anayeweza kucheza vizuri zaidi akitokea pembeni kwani mara nyingi nafasi za kufunga tangu nilipokuwa Yanga huwa zinatokea pembeni,Ò€ alisema Msuva na kuongezea kuwa wapo wachezaji ambao wana uwezo wa kucheza nafasi yake, lakini wanatakiwa kujiamini na kujitambua kama wanaweza.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’