Niyonzima uso kwa uso na Bin-kleb

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2019
Niyonzima uso kwa uso na Bin-kleb

Kiungo wa zamani wa Yanga Haruna Niyonzima jana alikutana na Abdallah Bin Kleb, ambaye ndiye aliyekamilisha usajili wake wa kujiunga na Yanga mwaka 2012

Bin Kleb alisafiri nchini Rwanda na kikosi cha timu ya Taifa yeye akiwa mmoja wa wajumbe wa Kamati ya uhamasishaji

Baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda ambao ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana, wawili hao walikutana

"Leo nimekutana na baba yangu boss wangu mtu aliyenifanya Watanzania wote wa kanijua"

"Nakumbuka ilikuwa 2012 aliponifuata nyumbani kwetu na leo tumekutana tena"

"Nakuombea maisha marefu Abdallah (bin-kleb) wewe ni zaidi ya ndugu yangu,uliishi na mimi vizuri na ulikuwa mtu mwema kwangu"

"Allah azidi kukulinda na kukuepusha na kila jambo baya," ulisomeka ujumbe washukrani aliotoa Niyonzima

Niyonzima amekuwa akihusishwa kutaka kurejea Yanga, timu aliyoitumikia kwa mafanikio zaidi nchini Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’